He added that prior to being in politics he was once a mathematics teacher. Kenyans on social media have been quick to take up the trend to showcase how they have made it in life.
Ni mwezi mmoja tu umemalizika tangu mwalimu wa sayansi kutoka Kenya aliposhinda tuzo ya mwalimu bora duniani kutokana na kazi yake. Peter Tabichi alituzwa dola milioni moja kwa kulea akili ya vizazi ...
Mwalimu wa sayansi kutoka eneo la kijijini nchini Kenya , ambaye hutoa sehemu kubwa ya mshahara wake kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi maskini zaidi , ameshinda tuzo la dola milioni moja ($1m ) kwa ...